Baada ya kupata taarifa kuhusu nchi ya Afrika Kusini kuwasilisha barua yake Umoja wa Mataifa juu ya kujiondoa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC, Mahakama hiyo imeziomba nchi za Afrika Kusini na Burundi kufikiria upya uamuzi wao wa kuondoka katika mahakama hiyo iliyoundwa kwa lengo la shughulikia kesi za uhalifu mkubwa zaidi ulimwenguni.
Maamuzi ya Mahakama ya Makosa ya Jinai ICC kuhusu maamuzi ya Afrika Kusini
Baada ya kupata taarifa kuhusu nchi ya Afrika Kusini kuwasilisha barua yake Umoja wa Mataifa juu ya kujiondoa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC, Mahakama hiyo imeziomba nchi za Afrika Kusini na Burundi kufikiria upya uamuzi wao wa kuondoka katika mahakama hiyo iliyoundwa kwa lengo la
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment