Diamond Platnumz ni miongoni mwa mastaa wa Bongo Flava wanaopenda fashion. Muimbaji huyo ameamua kubadilisha muonekano wa nywele zake kwa kuirudia style ya zamani ambayo mashabiki walikuwa wameizoea.
Hitmaker huyo wa ‘Marry You’, wikiendi hii atatumbuiza katika show yake nchini Zimbabwe. Tazama picha zaidi hapa chini
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment