Assenga amefungua kesi ya kupinga ushindi wetu wa jimbo la Kilombero.Cha ajabu nimepokea summons leo, na ninatakiwa kuwa Mahakamani kesho tarehe 17.12.2015.Tusubiri tuone!
Posted by Peter Lijualikali on Thursday, December 17, 2015
ASENGA AFUNGUA KESI KUPINGA MATOKEO YA USHINDI WA MBUNGE WA KILOMBERO PETER LIJUALIKALI
Aliekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (ccm) Aboubakar Asenga amefungu kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi mbunge wa kilombero peter lijualikali
Kupitia ukurasa wake wa facebook mbunge wa jimbo la kilombero mh peter lijualikali amedai kuwa asenga amefungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi uliompa ushindi mbunge huyo bila ya kubainisha ni mahakama ipi ilipofunguliwa kesi hiyo,katika uchaguzi huo lijualikali alishinda kwa kupata zaidi ya kura 52,000 dhidi ya aboubakar asenga aliepata kura 46,000
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment