Kuelekea game ya kimataifa ya kirafiki kati ya Taifa Stars vs Burundi iliyopo katika kalenda ya FIFA itakayochezwa kesho Jumanne ya March 28 2018 uwanja wa Taifa Dar es Salaam , kocha wa Burundi Niyungeko Olivier aliongea na vyombo vya habari na kuwataja wachezaji aliyosikia kuwa hatari.
“Sijui kama mnakumbuka 2014 tulicheza na Tanzania hapa na tukaifunga goli 3-0, nimesikia Samatta pia anacheza Ligi ya Ubelgiji huyu ndio nilikuwa namtaka kuona wachezaji wangu wakimuona Samatta anacheza Ubelgiji watafanya nini unajua mchezaji akitoka nje hapo ndio wachezaji wanataka kujituma”
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment