Baada ya kumalizana kimkataba na timu ya TP Mazembe ya Congo DRC mwishoni mwa mwaka 2016 na kutotaka kuongeza mkataba kwa madai ya kuwa anaenda kucheza soka Ulaya, mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Thomas Ulimwengu amepata timu ya kucheza Sweden na tayari amesaini mkataba wa kuitumikia.
Thomas Ulimwengu amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuichezea timu ya inayoshiriki Ligi Kuu Sweden inayoshirikisha timu 16 ambapo kwenye Interview na shaffihdauda.co.tz Ulimwengu amethibitisha dili hilo kukamilika na kwa sasa anasubiri VISA tu.
0 comments:
Post a Comment