Mr T anasema “Hii ni sababu nzito sana siwezi kuongea ila ni mambo yangu ya moyoni usinichimbe”
Nay wa Mitego pia amekiri kuwa Mr T Touch alianda show kweli na kwamba yeye hakwenda kwenye show hio. Nay anasema “Sipendi kuongea uwongo, Naongea ukweli kwamba Mr T alianda show na nikashindwa kufika ili niliomba msamaha na nikarekebisha mambo aliyoyataka, niliapologize ila kwenye maisha kuna vitu vidogo ambavyi tunatofautiana kwenye maisha“.
Nay Pia anasema “Mimi na Mr T kugombana sababu nimeshindwa kwenda kwenye show sio sawa , it doesnt make sense, kwa muda wote niliokaa na Mr T mpaka tukatengeneza Free Nation ,show haiwezi kutugombanisha“
.
.
0 comments:
Post a Comment