Tazama baadhi ya picha za Avril akiwa na Darassa pamoja na Producer Abbah aliyetengeneza wimbo kama Utanipenda wa Darassa na Rich Mavoko.
Darassa amefanya kolabo na msanii kutoka Kenya?Picha zao wakiwa studio..
Msanii wa kike kutoka Kenya Avril ametua nchini kimya kimya na alipoulizwa alisema kuwa amekuja kutembea tu lakini amekuwa akionekana na mastaa kadhaa mmojawapo akiwa ni Darassa ambaye ameonekana akiwa naye studio pamoja na producer Abbah kitu ambacho kinabashiriwa kuwa ni kolabo.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment