www.kenethngamoga.blogspot.com

Waziri Abdallah Kigoda amefariki akiwa kwenye Matibabu India.. #RIP5

Kulikuwa na taarifa nyingi zilizosambazwa Mitandaoni kuhusu hali ya Kiafya ya Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda lakini Serikali ikakanusha kuhusu taarifa hizo na kutaarifu kuwa Waziri huyo ni mzima hajafariki, ila alikuwa India bado akiendelea kupatiwa Matibabu.
News
Taarifa iliyoripotiwa  muda mfupi uliopita na kuthibitishwa na Serikali inahusu Msiba wa Waziri huyo, Abdallah Omar Kigoda ambaye alikuwa Waziri wa Viwanda na Biashara na pia alikuwa Mbunge wa Jimbo la Handeni Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM.
Kigoda rip
Hiyo ni taarifa kutoka Ofisi ya Bunge ikionesha Waziri huyo amefariki leo Jioni katika Hospitali ya Appolo ambako alikuwa akitibiwa.. Serikali iko kwenye Mipango ya taratibu za kusafirisha Mwili wa Marehemu pamoja na Mazishi kwa kushirikiana na Familia ya Marehemu.
Kigodz & JP
RIP Dk. Kigoda… Hapa alikuwa na Mgombea Urais wa TZ kupitia CCM, Dk. John Maguful
i
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment