Msanii chipukizi ambaye anafanya vizuri na wimbo wake wa Aiyola Harmonize, amesema anatumia muda mwingi sana kuandika mashari ambayo yatawavutia wanawake kupenda nyimbo zake, kwani wanawake ndio mashabikli wakubwa wa nyimbo zake.
Harmonize ameyasema hayo kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio.
Msanii
chipukizi ambaye anafanya vizuri na wimbo wake wa Aiyola Harmonize,
amesema anatumia muda mwingi sana kuandika mashari ambayo yatawavutia
wanawake kupenda nyimbo zake, kwani wanawake ndio mashabikli wakubwa wa
nyimbo zake.
Harmonize ameyasema hayo kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio.
"Kiukweli napoteza muda mwingi sana nikiwa natafuta mashairi, niandike mashairi mazuri ya kuwako-nverce watu wapende muziki wangu, wausapoti, hasa mi nalenga sana kuwashawishi wanawake wanisapoti sana kwa sababu mi naamini wanawake ndio mashabiki namba moja", alisema Harmonize.
Pia Harmonize amesema kufanya hivyo haimaanishi kwamba wanaume sio mashabiki wake, bali wanawake wana nafasi kubwa sana kwenye maisha ya binadamu.
" Sio kama wanaume hawashabikii muziki, hapana, lakini wanawake unajua ndo kila kitu, ndo mama zetu ndo bibi zetu na wake zetu, wana nafasi kubwa sana kwenye maisha ya binadamu", alisema Harmonize ambaye yuko chini ya Wasafi.

0 comments:
Post a Comment