Ule usemi wa Mwanaume ni
Mwanaume tu, Umetimia leo baada ya Makeke yote na Mbwembwe zote za Flora
Mbasha Kumuishia na Kujikuta amekua mdogo kama piriton mbele ya Mumewe.
Nikakumbuka ule usemi wa Baba na Mama wakigombana Nyumbani, Waache wenyewe Mwisho wataelewana.
Wakati alipokua anahojiwa
na Millad Ayo, Flora Mbasha kasema; "Yule ni mume wangu na bado nampenda
na ntaendelea kumpenda. Tuna watoto wawili na ningependa tuongeze
watoto mapacha
0 comments:
Post a Comment