www.kenethngamoga.blogspot.com

Mshindi wa Miss World 2016 ndio huyu… Afrika yaingia Top5

Najua watanzania na waafrika wote walikuwa wanahamu ya kufahamu mshindi wa Miss World 2016 atakuwa ni mrembo kutoka nchi gani, mashindano hayo ambayo yamefanyika Washington Marekani, Afrika ilipata nafasi ya nchi za Kenya na Ghana kuingia TOP 20.
Najua watanzania na waafrika wote walikuwa wanahamu ya kufahamu mshindi wa Miss World 2016 atakuwa ni mrembo kutoka nchi gani, mashindano hayo ambayo yamefanyika Washington Marekani, Afrika ilipata nafasi ya nchi za Kenya na Ghana kuingia TOP 20.
screen-shot-2016-12-19-at-2-44-25-am
TOP 5 ya Miss World 2016
Muda ulifika na waandaaji wa Miss World walitangaza mshindi ambapo Miss Puerto Rico ndio alifanikiwa kushinda taji la Miss World 2016, lakini muwakilishi wa TanzaniaDiana Edward kwa bahati mbaya hakufanikiwa kufika nafasi za juu.
screen-shot-2016-12-19-at-2-46-17-am
Mshindi wa Miss World 2016
Hata hivyo Afrika Mashariki imepokea good news baada ya nchi ya Kenya kufanikiwa kuingia TOP 5 na ndio nchi pekee ya Afrika iliyofanikiwa kuingia TOP 5, huku Miss Dominician Republic akishika nafasi ya pili na Miss Indonesia akishika nafasi ya tatu.
screen-shot-2016-12-19-at-2-46-42-am

screen-shot-2016-12-19-at-2-47-00-am
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment