www.kenethngamoga.blogspot.com

Dogo aliyepewa jezi na Messi kutokana na kuvaa mfuko kama jezi, amehama Afghanistan kisa?

Bado headlines za dogo kutoka Afghanistan Murtaza Ahmadi kuzidi kupata umaarufu kupitia ubunifu wake wa kutengeneza na kuvaa jezi kwa kutumia mfuko wa rambo wenye jina na namba ya Lionel 
Bado headlines za dogo kutoka Afghanistan Murtaza Ahmadi kuzidi kupata umaarufu kupitia ubunifu wake wa kutengeneza na kuvaa jezi kwa kutumia mfuko wa rambo wenye jina na namba ya Lionel Messi anazidi kuingia kwenye headlines.
_88438940_messi_boy
Murtaza Ahmadi aliingia kwenye headlines baada ya picha yake kuonekana akiwa kavaa mfuko wa rambo ambao kautengeneza kwa kuufananisha na jezi ya timu ya taifa yaArgentina huku mgongoni ukiwa na namba na jina la Lionel Messi, kitu ambacho kilimfanya aingie kwenye headlines na kiasi cha Lionel Messi kumtumia jezi aliyoisaini.
murtaza-ahmadi-lionel-messi
Stori mpya ni kuwa baba wa mtoto huyo mwenye umri wa miaka mitano amaeamua kuhamia Pakistan na familia yake kutokana na kuhofia mtoto wake kutekwa, Murtaza Ahmadi ndio amefanya familia yake kuhama kutokana na kuwa na umaarufu uliofanyaLionel Messi kuhaidi kukutana na mtoto huyo aliyeingia kwenye headlines kwa kuvaa jezi ya mfuko.
1462266340081
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment