www.kenethngamoga.blogspot.com

New Audio: Good News kutoka kwa Harmonize ft Diamond Platinumz katuletea hii….#Bado

 Toka Lebel ya WCB Harmonize katuletea hii  ambayo amemshirikisha Boss wake, Diamond Platinum kwenye Audio ya Bado’ kutoka kwa producer Flaga na Laizer kutokea lebel ya WCB
Unaweza ukaisikiliza nyimbo ya Harmonize ft Diamond Platinumz ‘Bado’ hapa chini…


Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment