www.kenethngamoga.blogspot.com

Kazi atakayofanya Cristiano Ronaldo baada ya kustaafu soka

Staa wa timu ya taifa ya Ureno anayeichezea timu ya Real Madrid ya HispaniaCristiano Ronaldo leo December 7 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kutoka kwa interview yake aliyofanya na FourFourTwo


Staa wa timu ya taifa ya Ureno anayeichezea timu ya Real Madrid ya HispaniaCristiano Ronaldo leo December 7 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kutoka kwa interview yake aliyofanya na FourFourTwo.
Ronaldo ameongea mambo katika interview yake ya FourFourTwo lakini moja kati ya vitu alivyoongea ni kitu gani angependa kufanya baada ya kustaafu soka “Maisha yangu mimi ni soka baada ya kustaafu ningependa kufanya movies”
czenqxzwqaa2hpl-759x1024
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Cristiano Ronaldo hivi karibuni alisaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia Santiago Bernabeu hadi mwaka 2021, hata hivyo Ronaldo amesema huo sio ndio utakuwa mkataba wake wa mwisho katika soka.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment