WCB wanayofuraha kutualika kuitazama video mpya ya kijana wao Rich Mavokoambayo kamshirikisha Boss wake Diamond Platnumz, ukishamaliza kuitazama video hii ni ruhusa kuacha na comment yako umeionaje na wimbo wenyewe ili wakipita baadae wajue watu wao wameipokeaje
VideoMPYA: Mabibi na mabwana.. tumealikwa kuitazama mpya ya Rich Mavoko ft. Diamond
WCB wanayofuraha kutualika kuitazama video mpya ya kijana wao Rich Mavokoambayo kamshirikisha Boss wake Diamond Platnumz, ukishamaliza kuitazama video hii ni ruhusa kuacha na comment yako umeionaje na wimbo wenyewe ili wakipita baadae wajue watu wao wameipokeaje.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment