Baada ya kukaa kimya kwa muda kidogo, mwimbaji star kutoka lebel yenye mastaa wakali sana Tanzania, WCB, Richard a.k.a Rich Mavoko a.k.a Tajiri wa Vocals amekutana kwa mara ya kwanza kwenye collabo na Diamond Platnumz, ndani ya brand new joint “Kokoro”.
Mzigo huu ni another hit kutoka “nyumba ya ngoma kali” kama wanavyoiita wenyewe, umetayarishwa na maproducer wawili ambao ni Lizer kutoka WCB na Abby Daddy
0 comments:
Post a Comment