www.kenethngamoga.blogspot.com

Msimamo wa Simba ili wakubali kucheza mzunguko wa pili wa VPL na Yanga

Klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba leo November 23 2016 kupitia kwa afisa habari wao Haji Manara wameweka wazi msimamo wao kuwa hawatokuwa radhi kucheza dhidi ya watani zao wa jadi Yanga mzunguuko wa pili kama waamuzi hawatotoka nje ya nchi.

Maamuzi hayo ya Simba yanakuja ikiwa zimepita wiki kadhaa toka wacheze na watani zao wa jadi Yanga katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania bara uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kumalizika kwa sare ya goli 1-1.
Kufuatia mchezo huo ambao katikati ya mchezo mashabiki wanaoaminika kuwa wa Simba walivunja vitu kutokana na goli la Yanga lililofungwa na Amissi Tambwe, alifunga akiwa kasogeza mpira kwa mkono kabla ya kufunga na refa Martin Saanya akalikubali goli licha ya mpira kusimama kwa dakika kadhaa
.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment