VideoMPYA: Darassa na Ben Pol wametuletea hii inaitwa ‘muziki’
Bongofleva inajivunia pia kuwa na Darassa, wengi wameimba nae sana kwenye hit single ‘Too Much’ ila leo katuletea hii mpya ya ‘muziki‘ kamshirikisha Ben Pol, video imefanywa hapahapa Tanzania na Director Hanscana, ukishaitazama tafadhali usiache kuandika comment yako ili wakipita hapa baadae wajue watu wao wameipokeaje.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment