Taarifa iliyopo kwa sasa kwa Tanzania katika viwango vya soka Ulimwenguni ambavyo utolewa na shirikisho la soka ulimwengu, imeonesha Tanzania kushuka katika viwango hivyo kwa mara nyingine tena.
Taarifa iliyopo kwa sasa kwa Tanzania katika viwango vya soka Ulimwenguni ambavyo utolewa na shirikisho la soka ulimwengu, imeonesha Tanzania kushuka katika viwango hivyo kwa mara nyingine tena.
Tanzania kwa sasa imeshuka kwa nafasi 16 hadi nafasi ya 160 katika viwango vya FIFAna sasa kwa upande wa Afrika itakuwa nafasi ya 48, kabla ya viwango hivyo vipya kutolewa Tanzania ilikuwa nafasi ya 144.
Tanzania imeshuka katika viwango vya FIFA baada ya kupoteza katika mchezo wake dhidi ya timu ya taifa ya Zimbabwe uliyochezwa Harare November 13 2016 na Tanzaniakukubali kipigo cha goli 3-0, mchezo huo wa kirafiki ulikuwa katika kalenda ya FIFA na ndio umetumika kuishusha Tanzania.
0 comments:
Post a Comment