www.kenethngamoga.blogspot.com

Wafanyakazi nane wafukuzwa kazi kisa unene

Habari hii imeripotiwa na BBC ambapo imetokea nchini Misri kwenye television ya Taifa hilo ambapo imewafukuza kazi wafanyakazi 8 wa kike na kuwashauri waende wakapunguze uzito wa mwili.
Habari hii imeripotiwa na BBC ambapo imetokea nchini Misri kwenye television ya Taifa hilo ambapo imewafukuza kazi wafanyakazi 8 wa kike na kuwashauri waende wakapunguze uzito wa mwili.
Chama cha Radio na Televisheni nchini Misri ( ERTU) kimewapa wanawake hao muda wa mwezi mmoja kupunguza uzito kabla ya kuruhusiwa kuonekana tena kwenye television.
BBC
Tangazo hilo limezua lawama kutoka kwa watangazaji walioathiriwa ambapo mmoja wao Khadija Khattab, mtangazaji wa kituo cha Channel 2, amesema kuwa anataka watu ndio watazame kipindi chake na waamue wenyewe ikiwa ana uzito wa ju
u
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment