Imempendeza kila mmoja ambaye ni mpenzi wa muziki mzuri, na ndiyo sababu iliyonifanya nisisite kukusogezea na wewe hapa ili uweze kuenjoy nayo.
VIDEO: CHEKI DIAMOND PLATNUMZ NA CASSPER NYOVEST WALIVYOUA KWENYE HII “MY HEART” COKE STUDIO ZA
Ni masaa machache yamepita tangu ilipopandishwa mtandaoni hii collabo ya Diamond Platnumz pamoja na Cassper Nyovest ambayo wameifanya kwenye Coke Studio ZA.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment