Mhubiri maarufu wa Nigeria TB Joshua amefunguka kuhusu utabiri wake ambao alioutoa kuwa mgombea Urais nchini Marekani Hillary Clinton angeshinda lakini haikuwa hivyo.
Kupitia account yake ya facebook ametoa ufafanuzi kuhusu utabiri huo ambapo amesema Hillary Clinton alishinda kwa wingi wa kura licha ya yeye kushindwa kutokanaka na mfumo unaotumiwa kwenye uchaguzi nchini Marekani…..
>>>’Tumeona matokeo ya uchaguzi nchini Marekani, Baada ya kusoma, utaelewa kuwa hii inahusu kura nyingi, kura ya waamerika wengi kwa hali hii tunahitaji roho ya nabii kutambua au kumuelewa nabii, viwango vyetu ni tofauti, hatuko katika viwango sawa‘;–TB Joshua
0 comments:
Post a Comment