Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Video:Diamond Platnumz ft P Square ‘Kidogo’ imeachiwa leo JULY 12
Msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz ambaye ni muda mrefu umepita toka athibitishe kufanya collabo na wasanii mapacha wanaounda kundi la P Square, Peter &Paul leo July 12 ameamua kuachia rasmi video hiyo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki, video mpya Diamond ft P Square inaitwa ‘Kidogo’
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
0 comments:
Post a Comment