www.kenethngamoga.blogspot.com

Roma>>Tutaendelea kuichana serikali inapokosea-

kuna mambo mengi ya kuzungumza au ya kuimba kwani kuna matukio mengi yaliyotokea ambayo jamii inataka majibu yake.
Roma Mkatoliki
kuna mambo mengi ya kuzungumza au ya kuimba kwani kuna matukio mengi yaliyotokea ambayo jamii inataka majibu yake.
"Tutaendelea kuichana Serikali pale inapokosea na itasifiwa pale inapofanya mambo ya msingi kwa jamii, ila mpaka sasa kuna mambo mengi ya kuimba kwenye uongozi huu, hata jamii nayo inaposikia nataka kutoa kazi watu wanaanza kujiuliza, mambo kama bunge live, Sukari, hivyo kunamambo mengi sana ya kuimba" alisisitiza Roma Mkatoliki.
Roma Mkatoliki amesema kuanzia sasa muda wowote ataachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Kaa Tayari' hivyo watu wasubiri kusikia ndani ya wimbo huo ameimba nini.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment