www.kenethngamoga.blogspot.com

Martial kachukizwa kwa namba yake ya jezi kupewa Ibrahimovic

Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden Zlatan Ibrahimovic ambaye kajiunga na Man 

United msimu huu akitokea klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa kama mchezaji 

huru, jina lake linazidi kuingia kwenye headlines baada ya kuchukua jezi namba 9

 iliyokuwa inavaliwa na Anthony Martial.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden Zlatan Ibrahimovic ambaye kajiunga na Man United msimu huu akitokea klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa kama mchezaji huru, jina lake linazidi kuingia kwenye headlines baada ya kuchukua jezi namba 9 iliyokuwa inavaliwa na Anthony Martial.
Stori kutoka 101greatgoals.com zinaeleza kuwa Zlatan baada ya kuwasili, viongozi wa Man United walimwambia achague namba ya jezi ambayo angependa kuvaa, Zlatan akachagua namba 9 na viongozi wakakubali pasipo kumuhusisha kwa namna yoyote ileAnthony Martial ambaye alikuwa akiivaa jezi hiyo.
Screen-Shot-2016-04-23-at-21.16.57
Headlines za Martial kuvuliwa jezi namba 9 na kupewa Zlatan Ibrahimovic bila ridhaa zinapata nguvu kutokana na Anthony Martial kuripotiwa kuunfollow account za Man United za Instagram na twitter, kwa sasa mashabiki wa Man United wanatajwa kuwa na hofu na Martial kuendelea kusalia kikosini kwa muda mrefu.
Ikumbukwe mara kadhaa kumekuwa na changamoto kama hizo kwa vilabu vya soka hususani nyakati za usajili ambapo mastaa wanapewa nafasi ya kuchagua namba za jezi"kwamfano Mshambuliaji wa timu ya kama aTaifa ya Tanzania na KR C Genk Mbwana Samatta alipoambiwa achague namba ya jezi Akachagua namba 77

Lakini alipoulizwa ni kwanini alichagua namba 77 alisema anaamini kuwa hakuna mtu atakayekuwa anatumia namba hiyo huku akiamini kuwa kitendo cha kuchagua au kupewa jezi au namba ya mchezaji alie kwenye timu kwa muda mrefu inaweza kuleta matatizo kwa wachezaji kwa kuona kama mmoja anathaminiwa zaidi kuliko mwingine au huyu ni muhimu zaidi ya mwingine hii si sawa  Kama inavyoonekana kwa sasa kati ya Martial na Ibrahimovic
Screen-Shot-2016-07-24-at-12.07.55-AM
Screen-Shot-2016-07-24-at-12.07.25-AM (1)
Screen-Shot-2016-07-24-at-12.07.25-AM

Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment