Account hiyo ya Shetta haina picha yoyote kwa sasa mbali na picha hiyo ambayo ndiyo ameipost dakika kadhaa zilizo pita.
Matusi aliyo shushiwa ni kwanini amefanya hivyo...
@kenedyjohn31
@kenedyjohn31 Nay hajakosea hata kdogo
@pacha_wa_mama_yangu Kaz ipo kule shoga yangu mi ngachokaa @manzyleah_17
@officialkibadeus Jieshim @officialshetta
@chalzbwax Amna kitu @salmakisoma
@lucy_de_jose Oky ,,days cute,c kasema mkewe jamn,,,,,
@iddmejaji Heshima gani ss hio ama kweli ukiwa mshamba unakuwa mshamba wa kila kitu duh pole ni utoto ukikua utaacha...
@jesejohn Upumbavu mtupu
@johnn_mwangi Kuna wasanii wadanada ila sheta kazidi#shika adabu yako..
@hazeemabdulazizi Kweli sio maadili ya watanzania ivyo mbona unataka kujishusha thamani
@amyrashaeyz wamerudiana
Hizo ni baadhi ya comment ambazo nimeona nikuwekee kutoka kwenye post hiyo aliyo iweka. Wewe kwa mtazamo wako, Unadhani Shetta amefanya sawa kutupia picha hiyo
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment