www.kenethngamoga.blogspot.com

Baraka Da Prince azidi kukana kuwahi kutoka kimapenzi na Nisha

Msanii Baraka de Prince ambaye kwa sasa anafanya poa na ngoma yake ya 'SIWEZI' na ambaye amedondoka kwenye penzi la msanii mwenzake Najma Datan amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake yeye hajawaji kutoka kimapenzi na msanii wa filamu nchini Salma Jabu alimaarufu kama 'Nisha'.
post-feature-image

Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live, Baraka de Prince alisema kwamba yeye hajawahi hata kuwa na ushikaji na msanii huyo na kusema kwamba inawezekana ni shabiki mzuri wa kazi zake ila hajawahi kutoka nae kimapenzi kama ambavyo inazungumzwa mtaani na kama ambavyo msanii huyo alivyowahi kusema kuwa anatoka na Baraka de Prince.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment