www.kenethngamoga.blogspot.com

WEMA SEPETU ATHIBITISHA KUTOKA KWA UJAUZITO WAKE

Kwa takribani miezi mitatu star wa movie hapa nchini wema sepetu kuwa na ujauzito baada ya mahangaiko ya mda mrefu,usiku wa kuamkia tarehe 16 mwezi wa pili taarifa zikasambaa mitandaoni kuwa ujauzito wake umetoka


Mchana wa leo kupitia akaunti yake ya instagram amethibitisha hilo


Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment