www.kenethngamoga.blogspot.com

Video ya Ay_zigo yapigwa marufuku kuonyeshwa mchana nchini

Moja ya video zinazotazamwa sana kwa sasa kwa hapa nchini Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania ni Zigo ya At ft diamondplatnumz ambayo INA views zaidi ya 2million YouTube imezuiliwa kuonyeshwa mchana katika vituo vya Tv hapa nchini.  


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania #tcra imesema kuwa kwa jinsi maudhui ya video hiyo yalivyo no yakingono hivyo inapashwa kuonyeshwa kwenye runinga za hapa Tanzania kuanzia SAA NNE usiku hadi SAA kumi na moja alfajiri
Huku ikiongeza kuwa wao kama mamlaka hawadeal na Msanii Bali wanawaalifu wamikiki wa vituo vya Tv

Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment