www.kenethngamoga.blogspot.com

Siwezi kuimba wimbo utakaomkosea heshima mama yangu – Alikiba

Star wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini Ali salehe kiba amesema kuwa kamwe hawezi kuimba nyimbo zenye matusi kwakuwa anaamini hata mama yake ni shabiki namba moja wa muziki hivyo hapendi kumkosea

Ali kiba ambae kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa Lupera amesema kuwa sio jambo jema kwa wasanii kuimba nyimbo zenye lugha za matusi na kuudhi na hii ni kuwakosea heshima mashabiki
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment