www.kenethngamoga.blogspot.com

Hanscana Ampa makavu Q chilla !!

Muongozaji wa video anaekuja kwa kasi hapa nchini Hanscana amwemjibu Qchilla kufuatia tuhuma alizotoa kwamba Directors wa bongo hawana lolote,na kusema kuwa chilla anapaswa kukaa pembeni na awaache vijana wafanye yao

Pia hanscana amesema kuwa maneno hayo ya Q chilla ni dalili ya MFA maji haishi kutapatapa kwani kwa miaka 17 ambayo yupo kwenye game anapaswa kuwa na kila kitu chakushangaza hana lokote
Kwa siku za hivi karibun wasanii baadhi wamekuwa wakisema kuwa waongozaji wa video wa Tz hawana lolote hali inayoleta sintofahamu kwa wadau mbali mbali wa burudani hapa nchini
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment