www.kenethngamoga.blogspot.com

Nay wa mitego kuachia "shika adabu yako" video leo

Hit maker wa wimbo wa shika adabu yako #nay wa Mitego ameahid kuachia video ya shika adabu yako leo ,ametease kipande cha video hiyo

Ikumbukwe kuwa wiki mbili zilizopita baraza la Sana'a hapa nchini Basata walitangaza kuufungia wimbo huo huku kukiwa na migongano na hisia tofauti juu ya sababu ya kufungiwa wimbo huo

Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment