Najua bado kuna headlines kuhusu ishu ya makontena 349 kupotea bandarini Dar es Salaam na mpaka leo Jeshi la Polisi limethibitisha kuwashikilisa watu 12 kutokana na tuhuma hizo
.#Habari>Jeshi la Polisi na TRA wamekamata makontena 9 Mbezi Tanki Bovu Dar, wanahisi yalikuwa yakitoroshwa.HABARIITV
.#Habari>Jeshi la Polisi na TRA wamekamata makontena 9 Mbezi Tanki Bovu Dar, wanahisi yalikuwa yakitoroshwa.HABARIITV
— keneth ngamoga (@kenethngamoga) December 1, 2015
Kituo cha ITV wameripoti habari dakika chache zilizopita kuhusu kukamatwa kwa makontena tisa eneo la Mbezi Tanki Bovu Dar es Salaam… Jeshi la Polisiwameshirikiana na Mamlaka ya Mapato TRA kufanikisha kukamatwa makontena hayo, yanahusiana na yaliyopotea bandarini Dar?
Naendelea kuifatilia hii kwa ukaribu chochote kitakachonifikia nitakusogezea any time mtu wangu.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment