
Navy Kenzo ni kundi la muziki kutokea kwenye ukoo wa bongofleva, ni wakali wengine wa Tanzania ambao wanazimiliki headlines hata nje ya mipaka ya Tanzania, ukishaitazama hii video yao mpya unaweza kuacha comment yako ili wakipita wajue watu wao wanasema nini
.
0 comments:
Post a Comment