Picha;Raisi m agufuli alipokuwa naelekea kutangaza baraza la mawaziri
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ametangaza baraza la mawaziri December 10 2015 ambapo hata hivyo hajamaliza kutaja mawaziri wengine akisema anaangalia ni nani wa kumuweka kwenye hizo wizara zilizobaki
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment