www.kenethngamoga.blogspot.com

Diamondplatnumz kuachia wimbo mpya ijumaa hii

Msanii wa muziki wa kizazi kipya anaefanya vizuri katika soko la muziki barani Afrika kwa sasa diamondplatnumz ijumaa hii anategemea kuachia wimbo wake mpya,japo kuwa mpaka sasa bado hajaweka wazi jina la wimbo huo
Wimbo huo utamuweka msanii huyo katika ramani nzuri zaidi baada ya hit song yake iliyokwenda kwa jina la ''NANA'' Kufanya vizuri afrika
Kupitia mtandao wake wa instagram diamond alishare na mashabiki wake wa kuwataka wawe tayari kwa wimbo mpya
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment