www.kenethngamoga.blogspot.com

Ni time ya Chege kuzimiliki headlines za MTV Base leo Alhamisi Dec 17

Hii ni awamu ya msanii chege kutoka Tanzania kwa mara nyingine atakuwa sparking kwenye MTV BASE na hii ni moja ya ngoma zake aliyomshirikisha Runtown wa niger na uhuru wa Afrika kusin
Ile video ya wimbo mpya wa  Chege Chigunda aliowashirikisha msanii wa Nigeria Runtown na Uhuru itatambulishwa kwa mara ya kwanza leo Dec 17, 2015 saa 12 jioni za Afrika Mashariki kupitia kituo cha kimataifa cha MTV Base.
Video hiyo imeongozwa na director Justin Campos wa Afrika Kusini.
Justin Campos
.Director Justin Campos

Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment