Siku ya alhamisi December 10 2015 tulishuhudia kwa mara nyingine Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kuipanga timu yake itakayoongoza jahazi la Serikali ya Tanzania kwa awamu wa tano
Siku ya alhamisi December 10 2015 tulishuhudia kwa mara nyingine Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kuipanga timu yake itakayoongoza jahazi la Serikali ya Tanzania kwa awamu wa tano.
Tunajua kwamba kuna Wizara ambazo hazijapata Mawaziri bado lakini Rais Magufulialituhakikishia kwamba Wizara zitakuwa 18 na Mawaziri watakuwa 19…
Wale Mawaziri na Manaibu Waziri ambao tayari wamethibitishwa na kula kiapo, leo wamekutana kwa mara ya kwanza na Waziri Mkuu Majaliwa ofisini kwake.. kazi inaendelea, ripoti nyingine yoyote ikinifikia nakusogezea hapahapa mtu wangu.
0 comments:
Post a Comment