Happy Belated Birthday Mr. President, Dk. J.M Kikwete !!
Kama ilikupita basi naomba nikufikishie taarifa kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Kikwete jana October 07 2015 ndio alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo alikuwa akitimiza umri wa miaka 65.
Nimepita kwenye Blog ya Issa Michuzi na kuzipata pichaz za party ya Rais JK, pembeni wako pia Mama Salma Kikwete, watoto wao pamoja na Wajukuu ambao walienjoy kwa pamoja siku hiyo kubwa kwa Babu yao.
Hizi hapa pichaz nyingine.
Pichaz zote kutoka >>>> MICHUZI BLOG
0 comments:
Post a Comment