Brand New Song kutoka kwa Roma, Roma amesema atatoa wimbo Mpya asubuhi na mapema mnamo tarehe 25 mwezi huu October, unataka kujua nini kimejiri kwenye wimbo huo? endelea kuwa nasi tutakupa info kila mara na mashairi ya wimbo huo pamoja na kukusogezea pindi utakapotoka rasmi.
Keneth Ngamoga
Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
+255655632798
0 comments:
Post a Comment