Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba ameamua kuvipaka vyombo vya habari ambavyo havijaona umuhimu wa kuipa kipaumbele kampeni ya Peace One Day kwasababu tu yeye ni mmoja wa mabalozi wa kampeni hiyo.Alikba amedai kuwa yeye ni binaadamu na hajakamilika anaweza kuwa amewakosea bila kujua au kwa kujua pia. "haijalishi kwasababu nchi yetu ina amani ndio muache kutoa ushirikiano kumbukeni tupo kwenye kipindi kigumu cha uchguzi..."
Jiunge
na mimi kwenye FACEBOOK , TWITTER & INSTAGRAM Usikose kusubscribe
kwenye you tube kwa kubonyeza>>>VIDEO
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment