Posted by Keneth ngamoga
Zari kwenye picha hii ameandika: If anybody ever said perfect doesn’t exist, they were wrong. It surely does!!!! Look at my ‘perfect’ lil life
Baada ya Tiffah kufikisha siku 40, sasa ni muda wa kuonana na kaka zake hao watatu wanaoishi nchini Afrika Kusini.
Pamoja na kuwa ni watoto wa baba tofauti, watoto wa kiume wa Zari wamempokea kwa furaha kubwa Tiffah, mtoto wa Zari the Bosslady.
Mrembo huyo wa Uganda mwenye makazi yake South ameendelea kushare picha zinazowaonesha wanae wakicheza kwa upendo mkubwa na mdogo wao Tiffah.
0 comments:
Post a Comment