Kama alivyoahidi Vanessa Mdee kupitia ukurasa wake wa Twitter Leo March 17 anatukaribisha kuitazama video mpya ya wimbo alioshirikishwa na Msanii Orezi kutoka Nigeria ambao unaitwa Just Like That.
Unaweza kuitazama hapa na pia usiache kuniachia comment yako ili Vanessa akisoma ajue Watanzania wameipokea vipi hii>>>
Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba +255655632798
0 comments:
Post a Comment