www.kenethngamoga.blogspot.com

SABABU YA ZARI KUTOMUACHA DIAMOND LICHA YA KUWAPO TUHUMA ZA KUMSALITI

Mrembo Zari The Boss Lady ameonyesha kushtushwa baada ya kupata habari kuwa moja kati ya warembo walioonekana katika video ya Diamond, Salome kumzunguka na kuamua kulala na Diamond kisha kuacha hereni zake chumbani kwao kama ishara ya ushindi. Mrembo huyo anasemekana ni Hamisa Mobeto.

Zari aliandika hivi katika ukurasa wake wa Snapchat “ She borrows clothes for social media but cannot clean or wash her p**ssy. Hmm the things men pick from streets bado anaingaika. If you think you are woman enough come find me at my house and claim your cheap thing s!”
Japokuwa Hamisa alikanusha kutokuwa na mahusiano na Diamond, alisema kuwa wao ni marafiki. Diamond alimlipa vizuri sana katika video, kiwango ambacho ni kikubwa kwa yeye kuwahi kulipwa katika video zote alizowahi kuzifanya Alisema.
“Baba Salome ni boss wangu. Ni mtu ambaye tunafahamiana siku nyingi. Nimejuana na Diamond miaka 6, tulipatana na yeye kwenye video yake ya ‘Mawazo’
Aliongelea pia suala la hereni zilizodaiwa kuwa zake na aliziacha chumbani kwa Diamond kwa makusudi. “When mama Tee alilipuka hakusema ear rings ni za kwangu. At least angesema ‘Hamisa come and get your earrings” alisema “whoever left their earrings come for them…Those were not my earrings.”
Ni miezi sasa tokea kuwepo kwa habari kuwa Zari na Hamisa wana ugomvi mkubwa, mtu mmoja aliweka picha ya Hamisa akiwa amevaa suruali inayodaiwa kuwa ni ya Mondi.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment