March 25 2017 Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ‘CHADEMA’ ameungana na chama cha ACT Wazalendo kwenye mkutano mkuu wa kidemokrasia wa miaka 50 ya Azimio la Arusha na alipopata nafasi ya kuongea ameeleza sababu za yeye kuhudhuria mkutano huo
Lema amesema hakukuwa na ubaya wa yeye kuudhuria mkutano huo..na kusisitiza kuwa siasa sio vita.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na
Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata
habari mpya.
0 comments:
Post a Comment