www.kenethngamoga.blogspot.com

Wabunge 2 wazabana makofi katika ofisi ya waziri Nkaissery

Wabunge wawili kutoka kaunti ya Laikipia wameandikisha taarifa na polisi baada ya kupigana katika afisi ya waziri wa usalama Joseph Nkaiserry



Wabunge 2 wazabana makofi katika ofisi ya waziri Nkaissery

Wabunge wawili kutoka kaunti ya Laikipia wameandikisha taarifa na polisi baada ya kupigana katika afisi ya waziri wa usalama Joseph Nkaiserry.
Mbunge wa Laikipia kaskazini Mathew Lempurkel alimshambulia mbunge mteule Sarah Korere kwa makofi , kabla ya Korere naye kusaidiwa na kundi la wanaume kumshambulia Lempurkel , kiasi cha kumjeruhi . Frankline Macharia ansimulia kuhusu vita vya waheshimiwa.
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment