Sio rahisi kutaja list ya Vituo 10 bora vya Televisheni kwenye upande wa Entertainment duniani ukaiacha MTV ambayo ina matawi sehemu nyingi duniani ikiwepo Afrika Kusini ambako kuna tawi liitwalo MTVBaseSA.
Leo November 22, 2016 kupitia account yake ya Twitter, wameitaja list ya ma-Mc 10 bora wa HipHop Tanzania kwa mwaka 2016, na list hii kwa mujibu wa MTVBaseSA imepangwa kwa kutumia vigezo sita muhimu ambavyo ni..
- Mapokeo na Matokeo ya nyimbo zao
- Mtindo wa kuflow
- Uandishi wa Mistari
- Mauzo kwenye Muziki na Shows
- Kujiamini
- Kutobabaika wakati wa kuchana
Kwa mujibu wa List hiyo, Rapa Fareed Kubanda a.k.a FID Q amekamata namba 1 akifuatiwa na Joh Makini, A.Y, MwanaFA, Roma na wengineo. List kamili ya TZHottestMC2016 nimekuwekea hapa.
#BongoHipHop |Tanzania| #TZHottestMCs 2016
1Fid Q
2John Makini
3AY
4Mwana FA
5ROMA
6Mr. Blue
7Nikki Wa Pili
8G Nako
9Prof Jay
10Chindo Man
0 comments:
Post a Comment