www.kenethngamoga.blogspot.com

Mkataba wa kihistoria wa Chelsea na Nike uliyoweka rekodi

Klabu ya Chelsea yenye makao makuu yake London England leo October 13 2016 imeingia mkataba wa na kampuni ya vifaa vya michezo ya kimarekani Nike kwa ajili ya kuanza kuidhamini kuanzia msimu ujao, mkataba huo wa Chelsea na Nike umeweka rekodi ya kihistoria klabuni hapo
 Klabu ya Chelsea yenye makao makuu yake London England leo October 13 2016 imeingia mkataba wa na kampuni ya vifaa vya michezo ya kimarekani Nike kwa ajili ya kuanza kuidhamini kuanzia msimu ujao, mkataba huo wa Chelsea na Nike umeweka rekodi ya kihistoria klabuni hapo.
Nike wameripotiwa kuingia mkataba wa udhamini na Chelsea katika kipindi cha miaka 15, mkataba ambao utawafanya walipwe pound milioni 60 kwa mwaka ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 155, mkataba huo utawafanya Chelsea wavune jumla ya pound milioni 900 katika kipindi cha miaka 15 ambazo ni zaidi ya Tirioni 2 za kitanzania.
pumaaa
Chelsea watamaliza mkataba wao na Adidas mwezi May 2017, hivyo ni baada ya kukubaliana kuvunja mkataba wao wa udhamini wa miaka 6, mkataba wa Chelsea naAdidas ulikuwa unawafanya walipwe pound milioni 30 kwa mwaka ambazo ni sawa na Tsh bilioni 79.9, kitu ambacho Nike ambao ni wapinzania na Adidas wameongeza mara mbili yake
Bonyeza Play kuangalia matokeo ya Chelsea vs Swansea 2_2
Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment