October 10, 2016 Mtu wangu wa nguvu nakusogezea hii Video ya alichokisema msanii Alikiba kuhusu kuperform kwa muda mfupi kwenye tamasha la Mombasa Rockslililofanyika weekend iliyopita nchini Kenya.
Kufahamu alichokisema Alikiba wakati akizungumza na Mtangazaji wa Radio Citizen ya Kenya, William Tuva “Mzazi” Tazama video hii
0 comments:
Post a Comment