www.kenethngamoga.blogspot.com

Nay Wa Mitego Azungumzia Ukaribu wake na Diamondplatmnumz na Collabo zake za Kimataifa:Pambazuko fm Ifakara

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibari maarufu kama Nay Wa mitego amezungumzia kuhusu collabo zake za kimataifa lakini pia Ukarib wake na Msanii DiamondPlatnumz wakati akizungumza na Radio Pambazuko fm
Bonyeza Play Kusikiliza Interview na Nay Wa Mitego

Ungana na mimi kupitia Facebook , Twitter na Instagram Pia subscribe Youtube ili uwe wa kwanza kupata habari mpya.
Share on Google Plus

Keneth Ngamoga

Keneth Ngamoga ni mtangazaji wa radio Pambazuko iliyopo Ifakara.Huwa akisikika katika vipindi tofauti vya burudani.Kwa msaada na ushauri Wasiliana na Keneth Ngamoga Kupitia namba
+255655632798
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment